Posts

Showing posts from March, 2016

MATARAJIO YA IPHONE 7 NA 7+

Image
Utafiti wa masoko uliofanywa na  kampuni ya TrendForce imefanya  baadhi ya utabiri wa upgrades muhimu ambayo inaweza kusimama katika kuimarisha ubora wa  Apple, Inc 's (AAPL) kizazi cha kumi iPhone, ambayo ni simu ijayo  chini ya jina "iPhone 7" na "iPhone 7 Plus". kwa uhakika zaidi tayari wengi tumeona mafanikio yaliyopatikana kati ya iphone 6, na iphone 6+. pia toleo lililofuata la 6s na 6s+ pa yameinyesha matumaini kua Apple next device itakua bora zaidi na pia inatarajiwa kua user friend kuliko mwanzo.       MATARAJIO NA MABADILIKO MEMORY ENDURANCE MAY SEE A BOOST  kutokana na predictions za trend force inasemekana iphone 7 itakua na                                                                   -3 GB LPDDR4 DRAM (memory) (A9 successor in system-on-a-chip ...

NEXT GENERATION SMARTPHONE WILL OFFER MORE THAN PHONE

Image
FRANKFURT (Reuters) - Nearly a decade after the iPhone broke the mould for mobile phones the question being asked is whether the evolution of the smartphone has finally come to an end, as even Apple now treats older, smaller 4-inch screens as something new.     Industry experts believe innovation in smartphones is giving way to phone functions popping up as software or services in all manner of new devices from cars to fridges to watches and jewellery rather than remaining with handheld devices.

IPHONE 7 DESIGN IMELEAK JIONEE HAPA

Image

UNALIONAJE HILI LA TECHNOLOJIA

Image
 Teknolojia ya kupandikiza kadi ndogo kwa lengo katika mwili wa binaadamu kudhibiti wizi wa kimtandao imevuta hisia za watu wengi katika maonyesho ya Teknolojia ya Mawasilano ya CeBIT ya mjini Hannover.

MSANII CHIDI BENZ ANAHITAJI MSAADA KIAFYA NA KISAIKOLOJIA

Image
WASANII WASIPOJIFUNZA KWA CHIDI NDIO BASI TENA.! Sikutaka kuandika chochote leo kwny ukurasa huu baada ya kudedicate kwa mwanadada mtanzania aliyebuni sofware yake Leah-Buzuka. Lakini

HOW TO HARD RESET LG G3 THE EASY WAY

Image
Use Internal Settings Take your phone and tap on Menu. Then choose Settings. Go towards Backup and Reset and choose Factory Data Reset.

How to Reset Your Forgotten Windows Password the Easy Way

Image
Kusahau password hasa kwenye computer/ laptop inakera. Hii inasababisha upotevu wa mafail muhim pale unapoamua kupiga window chini na kuanza upya, Ila kuna njia ambayo ni rahisi sana kureset password yako hata kama huifahamu kabisa. kinachoitajika ni CD ya windows na line kadhaa za CMD.

THIS SOFTWARE WORK BETTER THA ITUNE

i found this free software which works better than itunes for those who have iphones. Bad news about it its that you must have an itune for it to work but the best part is that you can actual add remove or organise so in an easy way than what we all had to do with itunes. it comes with easy back up option also and all you gat to do is plug in your iphone and start using it. here is the link to download it DOWNLOAD ITOOLS HERE

HOW TO ROOT SAMSUNG GALAXY NOTE 4

Image
For those of you who want to root your Galaxy Note 4 and also install CWM or TWRP recovery at the same time (so you can backup, restore, and install ROMs), you can use the CWM/TWRP root method for rooting. This root method works on all KitKat and Lollipop including Android 4.4.4, 5.0, 5.0.1, 5.0.2

PROTECT YOUR COMPUTER FROM VIRUSES, HACKERS, AND SPIES

Image
Today we use our computers to do so many things. We go online to search for information, shop, bank, do homework, play games, and stay in touch with family and friends. As a result, our computers contain a wealth of personal information about us. This may include banking and other financial records, and medical information - information that we want to protect. If your computer is not protected, identity thieves and other fraudsters may be able to get access and steal your personal information. Spammers could use your computer as a "zombie drone" to send spam that looks like it came from you. Malicious viruses or spyware could be deposited on your computer, slowing it down or destroying files. By using safety measures and good practices to protect your home computer, you can protect your privacy and your family. The following tips are offered to help you lower your risk while you're online.

SECURITY YA SIM YAKO NI MUHIMU SOMA.

Image
   Hello na karibu tena katika muendelezo wa mafunzo murua ya technology. Baada ya kuchunguza kwa mda sasa nimetambua watu wengi huishia kulia baada ya kupoteza sim zao au kujiridhisha kwa kublock namba aliokua anatumia. THAT IS NOT (NOT,NOT,NOT) THE SOLUTION.  Kuna mambo ya haraka na muhim ya kufanya imidietly sim yako inapopotea lakini muhim mambo ya kufanya kabla sim haijapotea. YAFUATAYO NI MAMBO MUHIM YA KUFANYA KABLA YA KUPOTEZA SIM 1)PASSWORD

JINSI YA KUREKEBISHA MEMORY CARD ILIOCORRUPT

Image
Kabla ya kuanza inabidi kua na yafuatayo.    1) uelewa wa kompyuta hata kama ni kidogo. Huo huo unatosha    2) Memory card yenyewe iliocorrupt    3)windows computer.    4) Glasi ya maji au kajuisi si mbaya {#JOKE} Okay baada ya kudaka hayo hapo juu naomba tuanze kama ifuatavyo.

KABLA YA KUNUNUA SAMSUNG GALAXY FANYA HAYA

Image
Wengi wetu tumekua tukipenda kununua sim mikononi mwa watu {second hand} kutokana na unafuu wa bei. ila kumekua na ulaghai na utapeli hasa kwa wale wasiojua kutofautisha kati ya sim original na fake. Leo nitazungumzia sana sim za samsung, kwani ndio zimerindima humo mitaani mwetu.

FAHAMU NA ZITAMBUE TOFAUTI KATI YA IPHONE ORIGINAL NA CLONE

Image
FAHAMU NA ZITAMBUE TOFAUTI KATI YA IPHONE ORIGINAL NA CLONE IPhone ni moja ya gadgets maarufu katika soko. Hii imethibitishwa na mauzo kuongezeka na pia ubora wa bidhaa kua maintained. pia IPhone inazidi kua maarufu kutokana na perfomance na pia heshma anayopata mtumiaji wa sim hii. Apple wameitengeneza iphone ikiambatana na several apps ambazo zitakusaidia on your daily basis. IPhone mpya kawaida gharama karibu $ 699. inaweza kuonekana kidogo ghali, lakini watu wengi huamini kuwa  thamani ya fedha na bidhaa wanayopata vinaendana. Kutokana na hili basi hata wazalishaji wa sim fake kutumia mgongo wa Apple kupitisha bidhaa zao sokoni.

TWO COMPUTER TRICKS YOU SHOULD TRY RIGHT NOW

Image
Have fun with Notepad If you think that Notepad is just a basic text editor, then, you will be amazed  by its capabilities . You can use Notepad to create everything from personalized logs to harmless viruses that are incredibly annoying. Go see this post to know just how useful Notepad is.

COMMAND PROMPT {CMD} TRICKS

Image
Command Prompt Tricks, Hacks & Codes Command Prompt is one of the most powerful tools in Windows; but sadly, it is also the most ignored one. Things were not always like this; but with the advent of GUI based operating systems, people started feeling that computing through command based tools was boring. This ultimately lead the command prompt into obscurity.

NOTE PAD AND TRICKS

Image
SEE MORE TIPS Notepad Tricks: Cool Notepad tricks for Windows Notepad, the text editor that comes bundled in Windows is an excellent tool for text editing. But that is not the only thing for which notepad is famous. It is also famous for its tricks and hacks. Here is a roundup of some of the best and coolest tricks that you can try using Notepad.

TOP 10 SIMPLE THINGS EVERY COMPUTER OWNER SHOULD KNOW PART 1

Image
No matter how tech savvy you are, there are certain things every one of us has to deal with when using a computer—and we don’t always deal with them in the most efficient ways. Here are 10 things that everyone can (and should) learn to keep their computer fast, safe, and easy to use.

ANDROID SMARTPHONE SECURITY

Image
   Ever lost your android device and wonder if that's it?     Ever tried to locate a stolen device by just going to the last place you visited?       well cellphones have become one of our top priority now days, not only they cost fortune but some are more valuable in what it carries than the price tag. Pictures or important document can be or cause trouble to you if falls into the wrong hands.       Below is a possible way on how to secure {track} a stolen android or just remotely wipe it to secure your data