How to Reset Your Forgotten Windows Password the Easy Way
Kusahau password hasa kwenye computer/ laptop inakera. Hii inasababisha upotevu wa mafail muhim pale unapoamua kupiga window chini na kuanza upya, Ila kuna njia ambayo ni rahisi sana kureset password yako hata kama huifahamu kabisa. kinachoitajika ni CD ya windows na line kadhaa za CMD.
SOMA PIA HAPA KUHUSU PROTECTION YA KOMPYUTA YAKO
FUATA HATUA CHAHCHE ZIFUATAZO.
Weka wondows CD boot computer yako na select "repair your computer"

Tafuta option ya Command Prompt na uchague hapo

Command prompt ikifunguka type in tcode ifuatayo ili kutengeneza back up ya "sethc.exe"
copy c:\windows\system32\sethc.exe c:\
Then uta over wright command prompt exe (cmd.exe) over the sticky keys {sethc}:
copy c:\windows\system32\cmd.exe c:\windows\system32\sethc.exe

Sasa unaweza reboot Pc yako.
KURESSET PASSWORD SASA
Ukifika sehemu ya kuandika password bonyeza shift key mara tano na CMD (Command Prompt itafunguka.

Kubadili password andika code ifuatayo ikiwa na user name na password combination unayoitaji
hint. "geek" ndo jina la user na "mynewpassword" ndo password mpya
net user geek MyNewPassword

Ni hivo tu ukimaliza washa computer yako upya na ujaze password mpya na utakua umelog in.
welcome.
Comments