IFAHAMU SIM YA TECNO C8

     Tecno camon 8 ama wengi tulivozoea kuiita TECNO C8 ni moja kati ya sim ambazo zimefanya wapenzi wengi wa brand zingine kuipa try. Simu hii imetengenezwa rasmi kufocus kwenye mambo ya kupiga picha na kuchukua video. Hii inawapa advantage hasa kutokana na kua na camera ya nyuma yenye 13 megapixels pamoja na flash light mbili ili kuiwezesha kuchukua picha nzuri zaidi gizani. Pia camera yake ya mbele inabeba ukubwa wa 5 megapixel ikiwa na flash light yake yenyewe ili kuongeza ubora wa selfie zake.

     


          Ukubwa wa 16GB na ram ya 1GB inaifanya tena sim hii kua na uwezo zaidi hasa pale inapoonyesha kupiga hatua kubwa kumove forward from 512MB ram ambayo ilikua kwenye sim nyingi za tecno.
    


         Battery ya 3000 mAh inafanya hii sim kua na uwezo mkubwa wa kukaa na chaji.  Kwa matumizi light ya kawaida inaweza kusave charge mpaka 10HRS. Pia inapewa support na built in feature inayoitwa ultra power ambayo inakuwezesha kutunza cahji kwa muda mrefu zaidi hasa maeneo ambayo chaji inaeza kua ngumu kupatikana.
      




      Camon c8 camera ina uwezo wa kupiga picha fasta zaidi ndani ya 0.3 second ina kua imeshafanya auto focus na kupata best resolution na kutoa picha katika ubora wa hali ya juu. Hii inakupa advantage hasa kupiga picha ya haaka. Sim yako ikiwa bado locked, bonyeza special butoon ambayo iko chini mwisho mara mbili na sim yako itapiga picha haraka zaidi na kukupa chaguo usave ipi. pia camera ake ina matokeo mazuri zaidi. tazama mifano ya picha mbalimbali kwa nyakati tofauti.
camon c8 camera baharini

camon c8 camera
Tecno Camon C8 Beautification Effect
Tecno c8 inafocus pia kwenye beautification effect. Kwa kutumia tecnology ya Visidon face recognition, selfies na picha zingine zinakua na mwonekano bora zaidi. 
zifuatazo chini ni picha zilizopigwa mida ya usiku kutumia tecno c8
Okay zaidi wameeka option ya panorama. Panorama ni nini? kulingana wikipedia yalioko hapa chini ni majibu....
Panoramic photography is a technique of photography, using specialized equipment or software, that captures images with elongated fields of view. It is sometimes known as wide format photography. The term has also been applied to a photograph that is cropped to a relatively wide aspect ratio.
c8 panoramic images
          

         Tecno c8 inakuja na UI (user interface) ya kuvutia sana ikiwa na option kubwa kuchagua katika tecno wallpapers na playstore.
tizama baadhi ya screen shot hapa chini..
       
Tecno Camon C8
             zifuatazo ni full specs za tecno c8
Here are a full specs of the Tecno Camon C8 :

GENERAL INFORMATION
Device NameTecno Camon C8
Smatphone TypePhablet
2G Network
GSM: 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network3G: 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
4G LTE Networkn/a
SIMDual SIM (MiniSIM + Micro SIM)
StatusAnnounced July 2015

BODY
Dimensions150 x 76.3 x 8.8mm
Thickness8.8mm
Net Weightn/a
KeyboardTouchscreen
ColorsMidnight Black, Dark Blue, Amber Gold, Oyster White
CoverMetalic finish

DISPLAY
Screen TypeIPS Touchscreen
Display Size5.5 inches (267 ppi)
Display Resolution720 x 1280 pixels
Multi-TouchYes
Protectionn/a
Screen Color16M colors

MEMORY & OS
Card slotYes MicroSD card, Expandable storage up to 32 GB
Internal16 GB
OSAndroid OS, v5.0 Lollipop (64-bit)
Skinn/a
Processors1.3GHz Quad-core
ChipsetMediaTek MT6735 (64-bit)
GPUMali-T720
RAM1 GB

ENTERTAINMENT
Music PlayerYes, mp3, WAV, FLAC, eACC+
Video PlayerYes, MPEG4, H.263, H.264, XviD
Alert typesVibration; MP3, WAV ringtones
LoudspeakerYes
Audio portYes, 3.5mm jack

CONNECTIVITY
2G SpeedUp to 85.6 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps
3G SpeedHSPA+Up to 7.2 mbps downlink; Up to 21 mbps uplink
4G SpeedUp to 150 mbps
WIFIYes, Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot, DLNA, Wi-Fi Direct
BluetoothYes, Bluetooth Version 4.0, A2DP, LE
GPSYes, with A-GPS, GLONASS
RadioStereo FM radio
NFCn/a
HDMI Portn/a
Infrared Blastern/a
USB PortYes, 5pin microUSB
OTGYes

CAMERA
Primary Camera13 Megapixel (Up to 4864×2736)
Seconday Camera5 MP Camera with LED flash
Camera FeaturesLow-light Capture, Autofocus, Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
VideoYes, 1080p@30fps
Flash LightLED flash

BATTERY
CapacityNon-Removable 3000mAh Li- Ion Battery
TypeRechargeable Li-Ion Battery
Charging TypeUSB Micro 5V-1A Power Adapter
Charger TypeType AC100-240V.50-60HZ Input, 5V, DC 2 A Output
Stand-byUp to 480 hours
Talk timen/a
Video/Music playn/a

OTHER FEATURES
Motion Sensing / Gesture Controln/a
Fingerprintn/a
Sensors
Accelerometer, gyro, proximity, compass
Video StreamingYes
Active Noise Cancellationn/a
Wireless Chargingn/a
Built-in Mobile Paymentn/a
Water Resistantn/a
Dust Resistantn/a
Image EditorYes
Video EditorYes
Document ViewerYes
Document EditorYes
MessagingYes
LanguagesEnglish, German, Spanish, Italian, French
BrowserHTML5
Javan/a
– DivX/XviD/MP4/WMV/H.264 player- MP3/WAV/eAAC+ player- Photo/video editor- Document editor- Voice memo/dial/commands
kwenye box lake kuna nini?
  • – 1 × Smartdevice
  • – 1 × USB cable
  • – 1 × User manual
  • – 1 × Power adapter (A right AC Adapter will be sent as your shipping country)
  • – 1 × Ear Piece



BEI
Beitsh 320,000 - 350,000
     kwa leo ni hayo tuu kwa swali lolote kuhusu tecno camon 8 ama sim yoyote waweza kuuliza kupitia techedutanzania@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU NA ZITAMBUE TOFAUTI KATI YA IPHONE ORIGINAL NA CLONE

ONGEZA KASI YA PC YAKO