JE NAWEZA KUHACK SIM YA MTU BILA KUA NAYO?
Hili swali nimeulizwa na watu wengi sana na pengine bado hawajaisha wanaouliza. Well nitakpa jibu na maelezo kwa kirefu ila najua bado kuna ambao hawataamini na watabaki kubeba zana ya kua wanavofikiri wao. Endelea kusoma hapa ili kupata majbu sahihi na pia sababu za majibu hayo.
Jibu la swali husika hapo juu ni NO, Hapana, Haiwezekani.
yes kama nilivojibu, kwanza tujue tofauti ya neno tracking na tracing.
TRACING: (hii maarufu kufanywa na wapelelezi na makachero, ie: FBI)
Tracing maana yake ni kutafuta source ama origin. hii ni kwamba tayari nina data kamili ila natafuta chanzo. Hapa team kama FBI inaweza ongea na network provider ie: (whats app) aruhusu information zangu ziwe released ili waweze either kunibamba ama kujua my associates. If provider atakua haonyeshi any coperation, kama whats app sasa wana end to end decription basi tracing itakua imefia hapo.
Sahau unavoviona kwenye muvi za kimarekani na kirussia.
TRACKING: (Hii hata wewe waeza fanya. sababu yaweza kua kubwa ama ndogo)
Unlike Tracing, Tracking inafanyika from current to future. Tracking inamaanisha kujua kinachoendelea katika sim ya mlengwa, anachopanga kufanya na mengine mengi, but huwezi kuona yaliyofanyika before the initiation.
Najua wengi tunabebwa na assumption kua FBI ni jina kubwa and there is nothing they cant do. Trust me kama FBI wasinge pata IPhone ya yule ghaidi wasingeweza kutrace movement alizofanya, unless iphone manufucture waamue kuwapatia hizo Intel.
Hapa tunajifunza kua information zako zinaweza kua traced katinga njia mbili. Either povider aamue kutoa information zako, au wapate source ya izo information, in this case sim ama any comunication device uliokua unatumia.
Ila kuna njia moja tu ya kuweza kutrack sim ya mtu na hii ni kuibug (kuweka kitu ndani ya sim yake) ili kufanikisha hili ni lazima uwe na sim ya mlengwa, au uwe karibu nayo (hii ni kwa tracking softwares zinazoruhusu bluetoth istallation)
Chukua hii soma na itakusaidia kuelewa kua, Hakuna namna utaweza kunstall kitu kwenye sim yako wewe na ukatruck sim yaa mtu mwingine never. Epuka software mbalimbali zilizoko playstore zinazosema kua zinaweza kufanya ivo. Either utaliwa hela ama utainstall bugs kwenye sim yako.
kwa intel na more info kuhusu kuhack na maujuzi mengine ya tech in general please usisite kutembelea www.techackonline.blogspot.com
kama una maswali uliza hapa ama tuandikie techedutanzania@gmail.com
kwa video za tech na ufundi tembele www.youtube.com/c/cassanovaknt
asanteni sana na nawatakia somo jema.
Comments