HII NI NJIA RAHISI SANA YA KUANGALIA MUVI

Katika mambo niliyoona marahisi na watu wanapata nayo shida ni muviz. watu wanzunguka mpaka miguu inatoa sugu only kutafuta movies nzuri kwa desire zao. well worry no more cause leo techackonline na cassanovaonline wanakuletea mbinu bora zaidi ya kupata movies karibia zote unazozijua


    hii inakuja na option mbili, either uitazame online ama uidownload direct iwe kwenye pc yako {recomended}
     Okay kama kawaida nitaanza na kukuambia mahitaji

  •   unahitajika kua na bando. depends umejipangaje kama unataka kuangalia muvi nyingi basi mfuko pia usome.
  • internet connection. Kama unadownload, internet ya kawaida inaweza ikawa friendly ila kama unastream unahitaji fast kidogo otherwise utaishia kusubiri iload kila saa
  • Software ya kudownload. Nasuggest IDM {internet downlaod Manager}
Embu tutazame jinsi ya kupata IDM

  • Anza kwa kufungua linki hii hapa ili uweze kuidownload IDM BY WIZZY
  • kama hujainstall winrar basi install ili ikuwezeshe ku unwrap ili faili
  • unzip file Katika desired locatio na kisha run na install "idman621build14"
  • baada ya kumaliza kuinstall idm fungua file la crack na Run software ilioko apo kwa kufuata maelekezo ya onscreen mpaka uambiwe successful 
  • hapo umemaliza na waweza kutumia software yako.
Baada ya hapo twaweza proceed kwenda kwenye Movies zetu sasa
movies hizo zinapatikana katika link ifuatayo www.putlocker.is


  • baada ya kufunguka serach jina la muvi unayotaka. (kwa kua site hii ni ya free utasumbuliwa kidogo na matangazo na poppups ia vumilia
  • baada ya kupata muvi unayotaka hit play na baada ya sekunde kadhaa plugin ya IDM itatokea upande wajuu kulia wa player. kama utataka kudownload utabofya hapo, kama wataka tu kuangalia waweza kuendelea kustream.



baada ya kuhit download waweza chagua location
ya kusave muvi yako na kuendelea kudownload
kulingana na soeed yako ya internet na uwezo
wako.

Asante na ni hayo tu kwa leo kwa swali lolote
usisite kuniuliza am niandikie kupitia
techedutanzania@gmail.com na ntafurahi
kujibu maswali yako bila tatizo


Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU NA ZITAMBUE TOFAUTI KATI YA IPHONE ORIGINAL NA CLONE

ONGEZA KASI YA PC YAKO

IFAHAMU SIM YA TECNO C8