Posts

IFAHAMU SIM YA TECNO C8

Image
     Tecno camon 8 ama wengi tulivozoea kuiita TECNO C8 ni moja kati ya sim ambazo zimefanya wapenzi wengi wa brand zingine kuipa try. Simu hii imetengenezwa rasmi kufocus kwenye mambo ya kupiga picha na kuchukua video. Hii inawapa advantage hasa kutokana na kua na camera ya nyuma yenye 13 megapixels pamoja na flash light mbili ili kuiwezesha kuchukua picha nzuri zaidi gizani. Pia camera yake ya mbele inabeba ukubwa wa 5 megapixel ikiwa na flash light yake yenyewe ili kuongeza ubora wa selfie zake.

PHOTOSHOP DIGITAL PAINTING

Image

SAMSUNG GALAXY NOTE 7 LEAK

Image
        Samsung wako vizuri sana hasa katika ushindani kati yao na sim zingine za android kama Sony na Lg lakini pia ushindani mkubwa Kati yao Samsung na Iphone.         Samsung amejitahidi katika devices zake hasa Phablets kama note 3, 4 na 5. Swali kwa wengi ni je? Note 6 itakuaje? Kama Bado hujajua note 6 itakuaje tafadhali icheki hapa NOTE 6 LEAK ila kwa leo tutaongelea leak ya NOTE 7. Hii imevujishwa tuu je? kweli itakua ivo ama ni njia ya kuwamislead wale wanaotengeneza clone devices???        Lemme know what you think about this

JE NAWEZA KUHACK SIM YA MTU BILA KUA NAYO?

Image
        Hili swali nimeulizwa na watu wengi sana na pengine bado hawajaisha wanaouliza. Well nitakpa jibu na maelezo kwa kirefu ila najua bado kuna ambao hawataamini na watabaki kubeba zana ya kua wanavofikiri wao. Endelea kusoma hapa ili kupata majbu sahihi na pia sababu za majibu hayo.         Jibu la swali husika hapo juu ni NO, Hapana, Haiwezekani. yes kama nilivojibu, kwanza tujue tofauti ya neno tracking na tracing.

HII NI NJIA RAHISI SANA YA KUANGALIA MUVI

Image
Katika mambo niliyoona marahisi na watu wanapata nayo shida ni muviz. watu wanzunguka mpaka miguu inatoa sugu only kutafuta movies nzuri kwa desire zao. well worry no more cause leo techackonline na cassanovaonline wanakuletea mbinu bora zaidi ya kupata movies karibia zote unazozijua

ONGEZA KASI YA PC YAKO

Image
Leo tutatizama njia za kuifanya computer yako ifanye kazi kwa kasi na kupunguza matatizo ya hapa na pale. Hii ni maalumu kwako kama unatumia platform  yoyote ya Windows, iwe Windows 7, 8 au 8.1. Haijalishi kama computer yako ni ya bei ghali sana, ina processor na RAM kubwa lakini kama utendaji kazi wake ni wa kusuasua haina maana sana.

MATARAJIO YA IPHONE 7 NA 7+

Image
Utafiti wa masoko uliofanywa na  kampuni ya TrendForce imefanya  baadhi ya utabiri wa upgrades muhimu ambayo inaweza kusimama katika kuimarisha ubora wa  Apple, Inc 's (AAPL) kizazi cha kumi iPhone, ambayo ni simu ijayo  chini ya jina "iPhone 7" na "iPhone 7 Plus". kwa uhakika zaidi tayari wengi tumeona mafanikio yaliyopatikana kati ya iphone 6, na iphone 6+. pia toleo lililofuata la 6s na 6s+ pa yameinyesha matumaini kua Apple next device itakua bora zaidi na pia inatarajiwa kua user friend kuliko mwanzo.       MATARAJIO NA MABADILIKO MEMORY ENDURANCE MAY SEE A BOOST  kutokana na predictions za trend force inasemekana iphone 7 itakua na                                                                   -3 GB LPDDR4 DRAM (memory) (A9 successor in system-on-a-chip ...