SAMSUNG GALAXY NOTE 7 LEAK
Samsung wako vizuri sana hasa katika ushindani kati yao na sim zingine za android kama Sony na Lg lakini pia ushindani mkubwa Kati yao Samsung na Iphone. Samsung amejitahidi katika devices zake hasa Phablets kama note 3, 4 na 5. Swali kwa wengi ni je? Note 6 itakuaje? Kama Bado hujajua note 6 itakuaje tafadhali icheki hapa NOTE 6 LEAK ila kwa leo tutaongelea leak ya NOTE 7. Hii imevujishwa tuu je? kweli itakua ivo ama ni njia ya kuwamislead wale wanaotengeneza clone devices??? Lemme know what you think about this