IFAHAMU SIM YA TECNO C8

Tecno camon 8 ama wengi tulivozoea kuiita TECNO C8 ni moja kati ya sim ambazo zimefanya wapenzi wengi wa brand zingine kuipa try. Simu hii imetengenezwa rasmi kufocus kwenye mambo ya kupiga picha na kuchukua video. Hii inawapa advantage hasa kutokana na kua na camera ya nyuma yenye 13 megapixels pamoja na flash light mbili ili kuiwezesha kuchukua picha nzuri zaidi gizani. Pia camera yake ya mbele inabeba ukubwa wa 5 megapixel ikiwa na flash light yake yenyewe ili kuongeza ubora wa selfie zake.